Wakulima wa mazao ya korosho,ufuta na mbaazi Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma katika msimu wa mwaka 2022/2023 wamelipwa zaidi ya shilingi bilioni 33 kupitia vyama vya Ushirika vya msingi.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika Tunduru (TAMCU) Musa Manjaule wakati anatoa taarifa ya Chama hicho kwenye mkutano mkuu wa TAMCU uliofanyika kwenye ukumbi wa Skyway mjini Tunduru
Mgeni rasmi kwenye mkutano huo ni Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mheshimiwa Julius Mtatiro.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.