Wakulima wa zao la ufuta Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wamefanya mnada wa pili wa zao la ufuta katika kijiji cha Molandi kata ya Marumba ambapo wameridhia bei ya shilingi 3,895 kwa kilo moja ya ufuta.
Katika mnada huo Kampuni 15 zilishindanishwa na Kampuni nne kushinda kwa bei ya wastani ya shilingi 3,895 ambapo wakulima wameuza jumla ya kilo za ufuta 769,014 zilizowaingizia shilingi bilioni tatu
Hata hivyo katika minada miwili ya ufuta iliyofanyika wilayani Tunduru kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani wakulima wameuza zaidi ya tani 1600 za ufuta zilizowaingizia shilingi bilioni 6.4
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.