Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Kassim Majaliwa akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas alipo kuwa akitoa maagizo kwa Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya Namtumbo katika ziara yake aliyoifanya mapema mwaka huu 2023, kuwa waisimamie na kuitangaza miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali kwa lengo la wananchi wafahamu serikali imefanya nini katika maeneo yao.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.