Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma Mheshimiwa Ngollo Malenya akizungumza kwenye hafla ya Makabidhiano ya magari mapya kwa wakuu wa Wilaya za Namtumbo ,Mbinga na Tunduru .Magari hayo yaliyonunuliwa na serikali ya Awamu Sita yamekabidhiwa kwa wakuu wa Wilaya na mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.