TASAF imeendesha mafunzo ya siku sita ya kuibua miradi ngazi ya Jamii kwa wawezeshaji 25 kutoka Halmashauri za Madaba na Halmashauri ya Songea wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.Mtaalam wa TASAF Makao Makuu Lukas Anton akizungumza kwenye mafunzo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Ushirika mjini Songea amesema Mafunzo hayo yatapeleka maarifa kwa walengwa wa TASAF miradi ngazi ya jamii 5400 kati yao 3800 kutoka Halmashauri ya wilaya ya Songea na 1600 Halmashauri ya Madaba ikiwa ni utekelezaji wa TASAF Awamu ya Tatu.
Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=VEYSh9Mvj28
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.