Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameagiza kuchukuliwa hatua kwa wote walihusika na ubadhirifu wa ujenzi, mradi wa hospitali ya Halmashauri ya Madaba na kwamba ametoa siku 60 mradi huo kukamilika kwa asilimia 100.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ametoa agizo hilo wakati anazungumza kwenye kikao maalum cha Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Madaba wilayani Songea cha kujadili taarifa ya CAG katika mwaka wa fedha unaoishia Juni 30 mwaka 2021 ambapo Serikali imetoa shilingi bilioni 1.8 kutekeleza mradi huo.
TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=xfhKZfq_Npw
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.