• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WANACHAMA wa Simba wajitolea damu Hospitali ya Rufaa Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: August 1st, 2024

Wanachama na wapenzi wa Simba wamejitokeza  kwa  wingi kutoa damu   katika hospitali  ya Rufaa ya Songea (HOMSO) kwa ajili ya kusaidia  wagonjwa  waliolazwa Hospitalini hapo .

Wanachama  hao wamejitolea damu  ikiwa ni wiki ya Kilele cha Simba 2024  ambapo wamekuwa wakichangia damu kila mwaka.

 Mwenyekiti wa Matawi yote ya Simba Juma Ndago   amesema  wamekuwa wakifanya hivyo kila mwaka kwa lengo la kumuomba Mwenyezi Mungu na kurejesha  kidogo kwa jamii hasa kwa watu wenye  uhitaji.

"wanachama wa Simba wamekuwa na desturi  ya kuchangia damu na kujitolea  vifaa mbali mbali  kwa watu wenye matatizo  mbalimbali”,alisema Ndago..

Zedania Mgale ,Kiongozi  wa wanachama hao amesema kuchangia damu ni sadaka kubwa kwani wanaenda kusaidia watu wenye shida

 Kwa upande wake Mwanachama Ester Nyilenda amesema , Wagonjwa wengi wanashida ya damu na wanahitaji msaada hivyo wananchi  ,wasiogope kutoa damu.

Naye ,Yassin Mohammed, amesema wananchi waige ambacho wanasimba wanakifanya  kwani raha ya mwanasimba yoyote ni kushinda na kusaidia watu wenye mahitaji.

Said Abdallah  Mtumishi kitengo cha Damu salama  kinahitaji unit zaidi ya 300 uhitaji na kwamba  ,uchangiaji utasaidia kupunguza vifo  vya akina mama wajawazito  ,watoto na wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji.

Ametoa rai kwa wananchi wajitokeze  kuchangia damu ili kuhokoa maisha ya ndugu zetu wenye uhitaji wa Damu.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.