Wanafunzi wa sekondari ya wasichana Mufindi mkoani Iringa wametembelea banda la Halmashauri ya Nyasa lililopo ndani ya viwanja vya maonesho ya nanenane vya John Mwakangale jijini Mbeya kwa lengo la kujifunza kuhusu aina 400 za samaki wa mapambo wanaopatikana ziwa Nyasa pekee .
Samaki hao wapo katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa wamekuwa kivutio kwa wananchi wengi waliotembelea banda hili
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.