Sekondar mpya Kata ya Mputa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma iliyojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 560 kupitia program ya SEQUIP imeanza kuchukua wanafunzi 157 wa kidato cha kwanza kuanzia Januari 2024.
Wanafunzi 22 waliofaulu mwaka juzi lakini walishindwa na kujiunga na sekondari jirani ya Mbunga wamejiunga na sekondari hiyo ili kuanza masomo ya kidato cha kwanza baada ya serikali kujenga sekondari hiyo jirani na makazi yao kwa kuwa awali iliwalazimu kutembea kilometa zaidi ya 30 kufuata sekondari
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.