Pichani ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea mjini Mhe Damas Ndumbaro akitoa salamu za Wananchi wa jimbo la Madaba kwa niaba ya Mbunge wa jimbo hilo Mhe Joseph Mhagama mbele ya Mkamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Lilondo kilichopo Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.