Pichani aliyebeba tofali ni Diwani wa kwanza Mstaafu wa Kata ya Matumbi kijiji cha Ifinga Goltadi Mpangiduka na Viongozi wa Serikali ya Kijiji cha Ifinga wakishiriki zoezi hilo la Maendeleo wakiunga mkono jitiahada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Diwani I wa Kata ya Matumbi Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma Mhesimiwa Varentino Mtemauti ameshiriki zoezi la usombaji wa tofari katika kijiji cha Ifinga kwaajili ya Maendeleo ya Kijiji ya uendelezwaji wa ujenzi wa Kituo cha Afya na miradi mbalimbali inayotekelezwa katika kijiji hicho.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.