Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa wameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea barabara ya lami nyepesi katika mji wa Mbamba bay, yenye urefu wa mita 880 na imegharimu kiasi cha shilingi milioni 500 hadi kukamilika kwake
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.