WANANCHI wa kijiji cha Mchomoro Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma,wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme kuingilia kati mgogoro wa ardhi unaozihusu koo 16 wilayani humo ili kutafutia ufumbuzi wa kudumu mgogoro huo,SOMA habari kwa kina hapa https://www.ippmedia.com/sw/habari/rc-aomba-kuingilia-kati-mgogoro-ardhi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.