Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Labani Thomas amewahimiza wananchi mkoani umo kuacha kupanda miti kwa mazoea na badala yake kuapanda miti kama kilimo cha biashara
“Tumefikilia kuanzisha kampeni hii lengo ni kubadilisha wananchi wa mkoa wa Ruvuma wapande miti kama kilimo cha biashara ambapo watu wengi wametajirika kitokana na kilomo cha miti hivyo nataka tarehe 19 mwezi huu januari tutazindua kampeni ya kimkoa ambayo kila tarehe 19 ya mwezi tutakuwa tukipamba miti ya matunda”
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.