Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea kijiji cha Matomondo mkoani Ruvuma wameishukuru Serikali kwa kuwatengea Bilioni nne za ujenzi wa Barabara ya lami nyepesi kuanzia Matomondo pachani hadi Mlale yenye urefu wa kilomita 22.
Pongezi hizo wamezitoa mbele ya MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas alipotembelea na Kukagua mradi wa ujenzi wa barabara hiyo katika Halmashauri hiyo ambapo hadi sasa mradi huo umefikia asilimia 65 za utekelezaji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.