Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Maguu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025 Ndugu Ismail Ali Ussi
Mwenge wa Uhuru unaendelea na mbio zake mkoani Ruvuma ambapo unatembelea Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma kuanzia Mei tisa hadi Mei 17 Mwenge wa Uhuru utakapokabidhinwa katika Mkoa wa Mtwara
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.