Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akikabidhi Tuzo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Madaba wilayani Songea Sajid Mohamed iliyotolewa na wanawake wa Mkoa wa Ruvuma kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake DunianiM
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimkabidhi Tuzo Mwakilishi wa Kampuni ya mabasi ya Superfeo ,Tuzo hiyo imetolewa na wanawake wa Mkoa wa Ruvuma kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambazo kimkoa zimefanyika kwenye viwanja wa CCM wilayani Mbinga
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.