MWENYEKITI wa Kamati za akinamama wa Chama cha Wafanyakazi na Serikali (TUGHE) mkoani Ruvuma Happy Msanga amewaongoza wanawake wa chama hicho kutoa vifaa mbalimbali kwa Kituo cha watoto wenye ulemavu shule ya msingi Luhira Manispaa ya Songea ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kilele chake ni Machi 8,2030.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=9pw67kSxQ50
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.