• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WATAALAM wa Afya Ruvuma wapata mafunzo ya CHATI UCHUNGU

Imewekwa kuanzia tarehe: March 17th, 2025

Wataalam wa afya mkoani  Ruvuma wamepatiwa mafunzo ya Chati Uchungu iliyoboreshwa (Labour Care Guide) inayosaidia kufuatilia maendeleo ya mama mjamzito na mtoto wake tumboni kabla ya kujifungua.

Mafunzo hayo yatakayofanyika kwa siku 5 kuanzia Machi 17 hadi 21, 2025, yanajumuisha washiriki 40 kutoka Halmashauri zote 8 za Mkoa wa Ruvuma, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Songea, Hospitali ya Rufaa ya Peramiho, pamoja na wakufunzi wa vyuo vya Afya  na Sayansi Shirikishi vya Peramiho, Litembo, Kiuma na Songea.

Afisa Muuguzi kutoka Wizara ya Afya, Machimu Venance, amesema Chati Uchungu iliyoboreshwa inatoa nafasi kwa mama anayejifungua hospitalini kuwa na mtu wake wa karibu kama mume, mama yake au rafiki, ili kuwa naye kwa kipindi chote cha kujifungua ambapo mpango huo  unalenga kuboresha hali ya mama wakati wa kujifungua.

Kwa upande wake, Muuguzi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Hilda Ndambalilo, amesema Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma imeandaa mafunzo hayo maalum yanayolenga kuboresha huduma za afya kwa kina mama wajawazito na watoto wachanga.

Amesisitiza kuwa mafunzo hayo ni muhimu sana kwa sababu yanatoa uelewa wa kina juu ya ufuatiliaji wa kina mama wakiwa katika chumba cha kujifungua, ili kuhakikisha wanapata huduma bora na salama na kupunguza vifo vya wajawazito au wazazi na watoto wachanga.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.