Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma christina Mndeme ametembelea eneo la Mto Mnywamaji katika Kijiji cha Ruanda wilaya ya Mbinga ambako watumishi watano wa kampuni ya TANCOAL inayochimba madini ya makaa ya mawe kunusurika baada ya gari walilokuwa wanasafiria kusombwa na maji ya mto huo.TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=uYmWsJerxjs
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.