• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WATUMISHI Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma waanza mafunzo ya mfumo mpya wa ununuzi NeST

Imewekwa kuanzia tarehe: August 11th, 2023

WATAALAM 50 waliopo chini ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma  wameanza mafunzo ya mfumo mpya wa ununuzi wa umma (NeST).

Mafunzo hayo yameanza Agosti 11,2023 kwenye ukumbi wa Mipango Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea  yakishirikisha watumishi kutoka Sektretarieti ya Mkoa wa Ruvuma na makatibu Tawala wa wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma ambazo ni Songea,Namtumbo,Tunduru,Mbinga na Nyasa.

Mafunzo hayo yametolewa baada ya timu ya watumishi sita kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma kupata mafunzo ya mfumo moya wa Ununuzi NeST yaliandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi ya Umma (PPRA) mjini Dodoma na kushirikisha Sektretarieti za mikoa 26 ya Tanzania Bara.

 PPRA imeunda mfumo mpya wa ununuzi wa umma unaoitwa National eprocurement Sytem of Tanzania (NeST) ambao umeanza kutumika Julai Mosi 2023,baada ya kubaini changamoto za kiufundi zilizojitokeza kwenye mfumo wa ununuzi wa awali (TANePS) ambapo Mfumo wa TANePS utakoma rasmi  kutumika ifikapo tarehe 30 Septemba 2023,

Faida za mfumo mpya wa ununuzi wa umma kuwa ni Pamoja na kuongeza wigo wa ushiriki kwenye ununuzi,uwajibikaji,kupunguza muda wa mchakato,upatikanaji wa taarifa na  kupunguza mianya ya rushwa.

Faida nyingine ni uandaaji wa zabuni zote na uombaji wa zabuni utafanyika ndani ya mfumo,wazabuni watajisajiri na kupandisha nyaraka zao zote kwa mara moja na nyaraka zote zitasainiwa ndani ya mfumo.

Sekta ya ununuzi wa umma inachukua takriban asilimia 70 ya Bajeti ya Serikali hivyo uamuzi wa serikali kuamua kuanza kutumia mfumo wa NeST kutaongeza uwajibikaji kwa watendaji hasa PPRA wanaosimamia mfumo wa ununuzi wa umma.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.