NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mwita Waitara ametoa siku 14 kuhakikisha kuwa Meli ya abiria ya MV Mbeya II inayosafirisha abiria katika ziwa Nyasa kupitia mikoa ya Mbeya,Njombe na Ruvuma inafanyiwa matengenezo na kurejesha huduma za usafiri na usafirishaji.Soma habari kwa kina hapa https://www.habarileo.co.tz/habari/2021-06-0360b90ead04cba.aspx
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.