Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas, ambaye ni Mkuu wa Wiliya ya Songea Mhe, Pololet Mgema, wakati akiwa ziarani mkoani umo ya kushiriki mkutano Wadau wa madini ya makaa ya mawe leo Novemba 15, 2022 katika ukumbi wa Familia Takatifu Bombambili katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.