WAZIRI Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo amesema kwa miaka mitano serikali ya awamu ya Tano imefanikiwa kujenga vituo vipya vya afya 487.Jafo ameeleza hayo wakati anazungumza na watumishi wa umma wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea.TAZAMA habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=GwJhJt6PjHE
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.