• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WAZIRI Mhagama amtembelea Mke wa Makamu wa Rais wa zamani

Imewekwa kuanzia tarehe: February 19th, 2023

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma naUtawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amemtembelea Mama Salma Omar,mjane wa Hayati Dkt. Omar Ali Juma, aliyekuwa Makamu wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wamajukumu yake ya kuwahudumia viongozi wastaafu wa kitaifa na wajanewa viongozi hao.

Mhe. Jenista amesema, amefika nyumbani kwa Mama Salma jijini Dar esSalaam kwa lengo la kumjulia hali na kutambua mchango wa Hayati Dkt.Omar Ali Juma aliuotoa katika kulijenga taifa wakati wa uhai wake.

“Nimekuja kukutembelea kwa lengo la kukujulia hali, tuzungumze, nipatebusara zako na kujua changamoto unazokabiliana nazo ili tuzitafutieufumbuzi kwani mzee pamoja na wewe mmetoa mchango mkubwa katikamaendeleo ya taifa hili.” Mhe. Jenista amefafanua.

Aidha, Mhe. Jenista amewasilisha salamu za heri kwa mama Salma Omarkutoka kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. SamiaSuluhu Hassan, Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango naWaziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa.

Sanjali na hilo, Mhe. Jenista amemtakia heri ya siku ya kuzaliwa MamaSalma Omar kwa kumpatia zawadi ya ua ikiwa ni ishara ya upendo nakumtakiwa maisha marefu.

Kwa upande wake, Mama Salma Omar, amemshukuru Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kitendo chaSerikali yake kuendelea kuwahudumia wajane wa viongozi wastaafu wakitaifa.

Mhe. Jenista Mhagama anaendelea na utaratibu wake wa kuwatembeleaviongozi wastaafu wa kitaifa na wajane wa viongozi hao ambao wameachaalama kubwa katika taifa kwa mchango walioutoa wakiwa madarakani.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.