WAZIRI MKUU APONGEZA UJENZI HOSPITALI YA MADABA,AWEKA JIWE LA MSINGI
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amekubali kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan hadi sasa imetoa zaidi ya shilingi bilioni mbili kutekeleza mradi huo.
Waziri Mkuu alikuwa mkoani Ruvuma katika ziara ya siku mbili ya kikazi ambayo ameifanya katika Halmashauri za Namtumbo na Madaba.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.