Waziri Mkuu Mheshimiwa kassim Majaliwa amewasili mjini Songea mkoani Ruvuma kwa lengo la kushiriki kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani Desemba Mosi 2024.
Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.