WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO LA HALMASHAURI YA MADABA
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amezindua mradi wa jengo la Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ambalo limegharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu.
Waziri Mkuu amefanya uzinduzi huo ikiwa ni siku ya pili ya ziara ya yake ya kikazi ya kutembelea Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.