WAZIRI MKUU anatarajia kuanza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma kuanzia Januari 2 hadi sita mwaka huu.Moja ya kazi ambazo atazifanya akiwa katika ziara hiyo ni kufungua jengo la Halmashauri ya Mji wa Mbinga na nyumba nane za watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbiinga.
Tazama habari kwa kina kuhusiana na mradi huo hapa https://www.youtube.com/watch?v=Bcg4cWfb-TU&t=62s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.