WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa anatarajia kuanza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma Januari pili mwaka huu,ambapo katika siku yake ya kwanza anatarajia kukagua ukarabati wa shule ya sekondari ya Tunduru ambayo serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 798 kukarabati shule hiyo kongwe ilianzishwa mwaka 1978.Habari kwa kina kuhusiana na mradi huo Tazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=bEGOVwQyRnQ&t=33s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.