• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WAZIRI wa TAMISEMI aagiza miradi kutangazwa

Imewekwa kuanzia tarehe: July 3rd, 2022

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa  amewaagiza viongozi wa Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanawatumia Maafisa Habari katika kuhabarisha umma kuhusu  kazi zinazofanywa na Serikali.


Ametoa Kauli hiyo leo tarehe 2 Julai, 2021 wakati akifungua kikaoa kazi cha Maafisa Uhusiano wa Taasisi, Maafisa Habari wa Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kilichofanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa, Jijini Dodoma.


Bashugwa amesema kuwa  ni wajibu wa Viongozi hao kuhakikisha wanaitumia Timu ya Maafisa Habari nchini  kutangaza miradi ya Maendeleo inayotekelezwa nchi nzima ili kuwapasha habari wananchi na kuwawezesha kuelewa  kazi kubwa inayofanywa na Serikali yao.


“Suala la Kuhabarisha Umma ni la kufa na kupona  kuhusu utendaji kazi wa Serikali kwa watanzania  ni muhimu, si jambo la hiari bali ni lazima kuhabarisha umma juhudi za Serikali katika kuwatumikia wananchi," amesitiza Waziri Bashungwa.


Amewataka Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa  na Wilaya, wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi katika mwaka wa fedha 2022/2023 kuhakikisha wanatoa habari kuanzia ngazi ya Kijiji , Mtaa, Wilaya, Mikoa na Taifa kwa ujumla ili  kila mtanzania aweze kujua kazi zilizofanywa na Serikali ya awamu ya Sita Chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.


Pia, Bashungwa amewataka viongozi hao kuhakikisha wanawasimamia Maafisa Habari wa Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa ili waweze kutimiza wajibu wao wa kuhabarisha umma kwa wakati kwa kuzingatia sheria, taratibu na Miongozo ya Utumishi wa umma.

Amesema kuwa Maafisa Habari wote nchini wakitimiza majukumu yao kwa weledi kutasaidia kuuhabarisha umma kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo yao na kujua kazi iliyofanywa na Serikali katika Kuleta maendeleo.



Naye, Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dkt. Charles Msonde amewataka Maafisa Habari wa Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wananchi wanapata habari sahihi na muhimu ambazo serikali inawafanyia.



Aidha, Msemaji Mkuu wa Serikali  na Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Gerson Msigwa amewataka Maafisa habari wote nchini  kutumia radio na television za kijamiii katika maeneo yao  kutangaza mafanikio  na agenda ya kitaifa  ili kuweza kuisaidia Serikali.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.