Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa ameendelea na ziara ya kikazi mkoani Ruvuma ambayo imelenga kukagua barabara na madaraja.Waziri Bashungwa ameweza kukagua Daraja la Mto Ruhuhu linalounganisha Wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma na wilaya ya Luduwe Mkoa wa Njombe.Daraja hilo limejengwa kwenye Mto Ruhuhu unaomwaga maji yake ziwa Nyasa.Daraja lina urefu wa meta 98 ambapo serikali imetumia zaidi ya shilingi bilioni nane kutekeleza mradi huu,
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.