Mkoa wa Ruvuma unatarajia kufanya wiki ya afya ya kinywa na meno kuanzia Machi 14,2023 hadi Machi 20,2023.
Kulingana na taarifa ya Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa Ruvuma,kila Halmashauri itaadhimisha wiki hiyo kwa kutoa elimu ya kinywa na meno kwa jamii .
Katika wiki hiyo pia utafanyika uchunguzi wa kinywa na meno kwa wanafunzi wa shule za msingi wanaosoma madarasa ya Awali,darasa la kwanza hadi la tatu.
Maadhimisho ya afya ya kinywa na meno kitaifa yanatarajia kufanyika mkoani Kigoma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.