Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema serikali inayoongozwa na Rais Dkt John Magufuli imedhamiria kuunganisha mtandao wa barabara ya lami mwambao mwa ziwa Nyasa kuanzia Lituhi,Liuli hadi Chiwindi mpakani mwa Tanzania na nchi ya Msumbiji.Alikuwa nazungumza na wananchi wa Kijiji cha Mtupale kata ya Chiwanda wilaya ya Nyasa mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.
TAZAMA habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=c4rv2XtbSro&t=14s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.