• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WILAYA ya Nyasa ilivyounga Mkono matumizi ya Tehama kufuatia Ujumbe wa Mwenge wa Uhuru 2021

Imewekwa kuanzia tarehe: September 5th, 2021

KAULI Mbiu ya Mwenge  maalumu wa Uhuru mwaka 2021 imesisitiza matumizi ya Tehama ni Msingi wa Taifa kwa Maendeleoo Endelevu itumie kwa usahihi na uwajibikaji .

katika kuunga mkono kauli mbiu hiyo Wilaya ya Nyasa imejidhatiti kwa vitendo kwa kuzindua miradi miwili ya  Mfumo  wa kielekroniki  kwaajili ya usimamizi wa matibabu pamoja na matumizi ya mfumo kurahisisha kwa wanafunzi wa shule Ya Sekondari Mbambabay kujisomea kwa urahisi.

Akizungumza kabla ya kuzindua mfumo huo Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa Jimson Mhagama amesema  mfumo huo wa kielektroniki ulianza kutumika  Februari 2021  na katika kipindi hicho  cha miezi mitano mfumo umeleta mafanikio makubwa.

Mhagama ameeleza Faida za mfumo huo ikiwemo kuongeza  uhifadhi na upatikanaji wa taarifa za kitabibu  kwa haraka pamoja na Uthibiti na Ukusanyaji  wa Mapato, dawa na utunzaji takwimu zote za kitabibu.

“ Fedha zilizotumika  katika kufanikisha  ufunguzi  wa mfumo huo kiasi cha zaidi milioni 33,fedha kutoka Selikali kuu kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 21 na Halmashauri shilingi milioni 4.5 pamoja na wahisani kiasi cha shilingi milioni 7.5”

Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa ameelezea jitihada za kuongeza ufaulu katika shule ya Sekondari Mbamba bay  imepata ufadhili kutoka Shirika la African child development  zikiwemo shule za Sekondari 10 zimepatiwa msaada huo.

Hata hivyo Mhagama amesema mradi huo umegharimu kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 23  ambapo komputa 5 zilitolewa na USCAF  zenye thamani ya shilingi Milioni 7.5 na komputa 5 zilitolewa na Tanzania Project zenye thamani ya shilingi milioni 7.5,mtandao wa Internet na vishikwambi 3 vilitolewa na African Child Development  zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 3 na ukarabati wa chumba cha komputa zaidi ya milioni 5.

Mhagama ameelezea faida ya kuwepo kwa chumba hicho cha komputa  na vifaa kumekuwepo na mafanikio chanya ambayo Halmashauri  inajivunia imeweka mkakati wa kusambaza teknolojia.

Upatikanaji wa vitabu kwa urahisi  akida na ziada,maswali kwaajili ya mazoezi  machapisho na mitihani ya kitaifa iliyopita,kuongeza ari ya kujisomea  na ubunifu kwa walimu na wanafunzi.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Uhuru Kitaifa amesisitiza matumizi sahihi ya Tehama kwaajili ya kuleta maendeleo Nchini badala ya kutumia kwa kufanya uhali na kupelekea nchi kuingia kwenye machafuko.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Ofisi ya Habari ya Mkoa wa Ruvuma

Septemba 5,2021

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.