Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua barabara ya lami Mbinga hadi Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma yenye urefu wa kilometa 66 ambayo serikali imetumia shilingi bilioni 129 kutekeleza mradi huo.Waziri mkuu amesema kukamilika kwa barabara ya lami na kuzinduliwa kwa meli mpya ya abiria ya MV Mbeya II kumeifanya wilaya ya Nyasa kufunguka.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=SigxSOvukf8&t=2s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.