Hii ni Shule ya msingi ya Lovund ya mchepuo wa Kiingereza iliyopo Wilayani Nyasa mkoani Ruvuma imejengwa Linda Kata ya Kilosa ambayo imetatua kero ya wananchi wa Wilaya ya Nyasa Awali hapakuwa na Shule ya Mchepuo wa Kiingereza.Shule hii ni ya Serikali ina majengo ya kisasa ambayo yanamvutia mwanafunzi kujifunza na ina nyumba za Walimu na gari ya wanafunzi ya kuwapeleka shuleni na kuwarudisha.imejengwa na Shirika lisilokuwa la kiserikli la Tanzania project kwa hisani ya familia ya Inno ya nchini Norway na kukabidhiwa kwa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.