MAKUMBUSHO ya Taifa ya Majimaji iliyopo Manispaa ya Songea,inatajwa kuwa ndiyo makumbusho pekee nchini unayoweza kuona picha halisi na vifaa halisi vilivyotumiwa na babu zetu katika harakati za ukombozi dhidi ya wakloni wa kijerumani.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=ccBUy59F1aQ&t=133s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.