BARAZA jipya la Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma limeapishwa na kuanza kazi ya kuwatumikia wananchi ambao waliwachagua.Akizungumza mara baada ya kuapishwa na kupitishwa na madiwani wote kwa asilimia 100 kuwa Mwenyekiti mpya wa Halmashauri hiyo,Teofanesi Mlelwa amesema yupo tayari kushirikiana na watalaamu wote katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Madaba.Hata hivyo amesema hatakuwa tayari kuwavumilia watumishi ambao watakuwa wazembe k,uwatumikia wananchi.
Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=DFU2bK2BZ7w
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.