MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema katika Mkoa wa Ruvuma kwa kipindi cha mwaka 2022/2023 zaidi ya shilingi milioni 588 zimetolewa kwa wanawake katika vikundi 93 kama sehemu ya fedha zinazotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani.
Kanali Laban ameeleza hayo wakati anazungumza kwenye katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambazo kimkoa zimefanyika katika Halmashauri ya Nyasa kwenye viwanja vya bandari mjini Mbambabay ambapo kaulimbiu ya mwaka huu inasema ubunifu wa mabadiliko ya teknolojia chachu katika kuleta usawa wa kijinsia
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.