Mwenye suti ya bluu ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde anaendelea na ziara ya kikazi ya kukagua Miradi mbalimbali ya elimu mkoani Ruvuma
Hapa yupo katika Wilaya ya Mbinga ,katikati pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Aziza Mangosongo akiwa na Mbunge wa Mbinga vijijini Mheshimiwa Benaya Kapinga
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.