Pichani katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed katika picha ya pamoja na watendaji wa Kampuni ya uchimbaji makaa ya mawe ya MILL COAL ,mgodi ambao upo mpakani mwa mikoa ya Ruvuma na Njombe hivyo kuwajibika kwa jamii katika mikoa yote miwili ambapo inatarajia kutoa shilingi milioni 92 kusaidia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Ntunduwaro wilayani Mbinga .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.