MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amezitahadharisha Halmashauri kuacha matumizi ya fedha mbichi.
Kanali Abbas ametoa tahadhari hiyo wakati anazungumza kwa nyakati tofauti katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge katika kikao maalum cha Baraza la madiwani cha kujadili taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) juu ya hoja na mapendekezo CAG kwa hesabu za Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 katika Halmashauri za Manispaa ya Songea,Madaba,Halmashauri ya Mbinga ,Mbinga Mji na Nyasa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.