Afisa Elimu Mkoa wa Ruvuma Mwl.Edith Mpinzile amewataka Maafisa Elimu Wilaya na kata wa Halmashauri zote za mkoa wa Ruvuma kusimamia shughuli za maendeleo ya shule kwa kutumia miongozo na kanuni zilizopo na badala yake kuacha kufanya kazi kwa mazoea.
Hayo ameyasema katika kikao kazi kilichowakutanisha Maafisa Elimu wote wa Wilaya na Kata ambacho kilikusudia kujadili tathimini ya matokeo ya darasa la saba ya mwaka 2023, ambacho kimefanyika kwenye ukumbi wa chandamali, Manispaa ya Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.