BALOZI wa China nchini Tanzania Chen Mingjian ameshiriki katika uzinduzi wa utoaji huduma za matibabu ya kibingwa ambayo yatatolewa kuanzia leo na madaktari bingwa kutoka nchini China Mkoani humu. Matibabu hayo yatatolewa kwa siku tatu katika uwanja wa MajiMaji uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani umo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.