BALOZI wa China nchini Tanzania Chen Mingjian akiwa anapata maelezo ya kihistoria kutoka kwa Afisa elimu Makumbusho ya MajiMaji Erick Soko wakati alipotembelea makumbusho hayo baada ya kutoka kushiriki hafla ya uzinduzi wa matibabu bure ambayo yanatolewa siku tatu kwa wananchi wa Mkoa Ruvuma katika uwanja wa MajiMaji, kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.