BALOZI wa Mazingira Michael Msechu akiwa na vijana maafisa usafirishaji katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakihamasisha kwa kuimba nyimbo za mazingira siku ya kilele cha maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani ambazo kimkoa zimefanyika kwenye viwanja vya hospitali yta Rufaa Kata ya Mwengemshindo mjini Songea ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed
Kila mwaka Juni 5 huadhimishwa siku ya mazingira Duniani ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni urejeshwaji wa ardhi iliyoharibika na ustahimilivu wa hali ya jangwa na ukame
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.