Kulia ni Mganga Mkuu wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma Daktari Bingwa Magafu Majura akitoa maelezo kwa Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida namna jengo la wagonjwa wa dharura (EMD)lililovyorahisisha huduma kwa wagonjwa wa dharura.
Picha ya chini Balozi huyo akitoa pole kwa mmoja wa wagonjwa waliopo kwenye jengo la EMD wakiendelea kupata huduma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.