Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imetenga zaidi ya shilingi bilioni 150 kujenga barabara ya lami nzito kutoka Kijiji cha Ruanda Wilaya ya Mbinga hadi bandari ya Ndumbi Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.Serikali imetoa shilingi bilioni 12.2 kujenga bandari ya kimkakati ya Ndumbi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.