• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

BARABARA ya mpya za Songea ,mwanga mpya katika miundombinu Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: March 17th, 2025

Na Albano Midelo

Katika jitihada za kuboresha miundombinu ya barabara mkoani Ruvuma, Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) unatekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 10.1 kwa kiwango cha lami katika Manispaa ya Songea.

Meneja wa TARURA Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Silivester Chinengo anasema Mradi huo unafadhiliwa na mpango wa TACTIC kupitia Benki ya Dunia,katika mwaka wa fedha wa 2023/2024, ukiwa na lengo la kuboresha miundombinu na kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika  mji wa Songea na Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla.

Amesema Ujenzi  wa mradi huo unafanywa na mkandarasi mzawa, M/S CHINA SICHUAN INTERNATIONAL COOPERATION CO LTD, kwa gharama ya shilingi bilioni 22.27 na kwamba Usimamizi wa mradi huo unafanywa na Mhandisi mshauri HOWARD CONSULTING LIMITED kwa gharama ya shilingi milioni 939.39.

“ Hadi sasa, mradi umekamilika kwa asilimia 87.53 na unatarajiwa kukamilika rasmi ifikapo tarehe 8 Juni 2025’’,alisema Mhandisi Chinengo.

Wananchi wa Songea wanatarajia kupata manufaa makubwa kutoka kwa mradi huu, ikiwa ni pamoja na kupunguza gharama za usafirishaji, kurahisisha upatikanaji wa huduma muhimu, na kuboresha biashara na uchumi wa  mji wa Songea.

Zaidi ya hayo, barabara hizi zitasaidia kupunguza msongamano wa magari na kuboresha usalama wa watumiaji wa barabara katika Manispaa ya Songea.

Meneja wa TARURA Mkoa anasisitiza kuwa, mradi huo ni sehemu ya mpango mpana wa kuboresha miundombinu ya barabara katika maeneo mbalimbali ya mkoa, hatua inayolenga kuinua ustawi wa wananchi kwa kuwezesha maendeleo endelevu.

Mradi huu unaonesha azma ya serikali katika kuhakikisha maendeleo ya miundombinu yanaendelea kushika kasi, huku wananchi wa Songea wakisubiri kwa hamu kukamilika kwa asilimia 100 ili waweze kunufaika kikamilifu na barabara hizi za kisasa.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.